Featured

    Featured Posts

    Social Icons


Loading...

NYUMBA MOJA KATIKA MJI MKONGWE YAANGUKA LEO

Naomba nikushirikishe na wewe pia kwamba kuna mambo mengi na mazuri ndapi ya picha iliyopo hapo chini ibofye uone.

Moja ya Jengo katika Mji Mkongwe linalomilikiwa na Ndg. Rashid Abass Imram, limeaguka leo asubuhi kutokana uchakavu wake na baadhi ya wananchi wanaokaa jirani na jengo hilo wamesema jengo hilo lilikuwa na ufa kwa muda mrefu bila kufanyiwa ukarabati na mwenye nyumba hiyo, kutokana mvua zinazonyesha hivi sasa katika visiwa vya zanzibar zimesababisha jengo hilo kupata maji nakuta zake na kuanguka.


Mashuhuda wa ajali hiyo wasema jengo hilo limepata ajali hiyo wakati wa saa moja asubuhi leo ikitokea ajali hiyo kulikuwa hakuna watu wakiwa wamekaa baraza eneo hilo hutumika kwa wakaazi wa sokomuhoga kukaa jirani na maskani ya jozcorner,


 Katika ajali hiyo hakuna mtu aliyejeruhiwa ila kunasemekana kuna mtoto hakuonekana mpaka sasa wanashaka kuwa labda amefunika na kivushi hicho Harakati za Kikosi cha Uokozi cha Zimamoto Zanzibar wakiendelea na kuvukua kivusi hicho kuona kama kuna mtu amefukiwa na kifusi cha nyumba hiyo

Askari swa kikosi cha Zimamoto Zanzibar wakiwa kastika jitihada za kuondoa kifusi kuangaliwa kama kuna mtu aliyefunikwa na kifusi cha jengo hilo lilioko jirani na maskani ya Joz Conern sokomumogo.  

Waokoaji wakiwa katika harakati za kuondoa kifusi kuona kama kuna mtu aliyefunikwa na kifusi hicho baada ya kuanguka kwa jengo hilo ambalo lilikuwa halina wakaazi katika jengo hilo lenye gorofa tatu kwa sasa lilikuwa halikai wati ila kulikuwa na wafanyabiashara wa vinyago milango ya chini ya jengo hilo wakati ikitokea ajali hiyo mweye duka hilo hakuwekwe katika biaashara yake.
 


Kwa habari za Matukio Kitaifa, Kimataifa, Michezo na Burudani, Ungana nami kupitia Link zifuatazo hapo chini.

    

In order you follow me just click one of the Icon Button above.
Usikose kuangalia Movies mbalimbali kutoka kila kona ya dunia, bofya kwenye picha iliyopo hapo chini kuona izo muvies
Nobody is a total failure if he dares to try to do something worthwhile. Tough times never last, but tough people do. The place broke up with applause. Those thirty - five hundred farmers who had lost hope and had battled depression found that hope.

Share habari hii kadri uwezavyo.

Contact us on mutalemwa.oesmo@gmail.com. Powered by Blogger.
© Copyright Mutalemwa Blog
Back To Top