Liverpool wamepata Bao la kuongoza kipindi cha kwanza kupitia mchezaji kiungo EMRE CAN ikiwa ni dakika ya tisa kipindi cha kwanza. Pia baada ya dakika chache baadae beki wa timu ya Chelsea GARY CAHILL, aliisawazishia timu yake mnamo dakika ya kumi na nne kipindi cha kwanza, kwaiyo mpaka kuisha kwa kipindi cha kwanza matokeo yalikuwa ni moja moja.(1-1)
Katika kipindi cha pili mchezaji DIEGO COSTA ameipatia timu yake ya chelsea goali la pili, wakati ikiwa ni dakika ya sitini na saba, ambapo mpaka kuisha kwa kipindi cha pili matokeo ni mbili moja (2-1) chelsea 2 wakati Liverpool 1.
Kwa habari za Matukio Kitaifa, Kimataifa, Michezo na Burudani, Ungana nami kupitia Link zifuatazo hapo chini.
In order you follow me just click one of the Icon Button above.