Featured

    Featured Posts

    Social Icons


Loading...

MAMA TIBAIJUKA AJICHOTEA KITITA CHA SHILLING 1.7 BIL "IPTL"

Naomba nikushirikishe na wewe pia kwamba kuna mambo mengi na mazuri ndapi ya picha iliyopo hapo chini ibofye uone.
Nikiwa Mwenyekiti wa BAWACHA Mkoa wa Ilala jijini dar es salaam,nalaani vikali kitendo kilichofanywa na mama Tibaijuika, kitendo cha kuchukua pesa kwa IPTL bil 1.7
Amedhalilisha wanawake wenzake wa Tanzania ambapo alipaswa kuwahurumia kwani wengi wao wanapoteza maisha kila siku kwa kukosa huduma bora mahospitalini na wakati wa kujifungua. Bila shaka BAWACHA tuna la kufanya dhidi ya fisadi huyu Mama Tibaijuka. Alisema mwenyekiti wa BAWACHA Mkoa wa Ilala Rehema Msami.
  


Kwa habari za Matukio Kitaifa, Kimataifa, Michezo na Burudani, Ungana nami kupitia Link zifuatazo hapo chini.

    

In order you follow me just click one of the Icon Button above.
Usikose kuangalia Movies mbalimbali kutoka kila kona ya dunia, bofya kwenye picha iliyopo hapo chini kuona izo muvies
Nobody is a total failure if he dares to try to do something worthwhile. Tough times never last, but tough people do. The place broke up with applause. Those thirty - five hundred farmers who had lost hope and had battled depression found that hope.

Share habari hii kadri uwezavyo.

Contact us on mutalemwa.oesmo@gmail.com. Powered by Blogger.
© Copyright Mutalemwa Blog
Back To Top