Featured

    Featured Posts

    Social Icons


Loading...

KIJANA MOSES SHAWA AKAMATWA NA NYETI ZA MWANAUME

Naomba nikushirikishe na wewe pia kwamba kuna mambo mengi na mazuri ndapi ya picha iliyopo hapo chini ibofye uone.
Pichani hapo chini nikijana anayefahamika kwa jina la Moses Shawa, kijana huyu ni mkazi wa kijiji cha Mzimba nchini south africa. Kijana huyu amekamatwa na sehemu nyeti za mwanaume kama zinavyo onekana hapo kwenye picha, amekamatwa na uume pamoja na korodani kijana huyu amekamatwa jana katika eneo la Greyward Mseketa ambapo baada ya kukamatwa  amepiga sana mpaka sasa amelazwa katika hospital ya Mzimba.


Taarifa zinasema kwamba kijana huyu alikuwa na marafiki zake abapo walienda baa na kushiriki kunywa pombe na mtu wasije mfahamu, baada ya kufika huko walianza kunywa pombe wote mpaka usiku wa manane kisha ghafla wakambeba jamaa huyo na kutoweka naye, tukio ilo lilitokea siku ya juma tatu usiku. Baada ya jamaa huyo kupotea mwenye baa na lodge alilazimika kutoa taarifa kwa mwenyekiti kuwa moja ya wateja wake haonekani, kumbe jamaa huyo aliyebebwa na vijana hawa alikuwa amekodi chumba katika lodge ile.

Baada ya vijana hao kumtorosha jamaa huyo walimlaza chumbani, kutokana kwamba alikuwa amelewa sana kiasikwamba haweza hata kujitambua ndipo vijana hao walipata fulsa yakuanza kumkata sehemu zake nyeti. Jamaa huyo baada ya kusikia maumivu ndipo alianza kupiga kelele na majirani kuamka na kumkuta jamaa huyo akiwa amenyofolewa sehemu zake nyeti huku akitokwa na damu nying, wakati vijana waliofanta tukio la kumkata sehemu zake nyeti wakawa wamekimbia na kutoweka katika eneo hilo. 

Kitendo hiki kiliwakasilisha sana watu ndipo walipoanzisha msako wa kumtafta muharifu, baadae ndipo wakafanikiwa kumkamata kijana huyu na kumfikisha police. 

Translated 

Picture shows Group Village Head Moses Shawa from Mzimba in handcuffs and carrying the private parts (penis plus scrotum) of Greyward Mseteka who is now battling for his life at Mzimba Hospital. Reports gathered by MBNG indicate that the guy in the picture and some friends took the victim for a drink on Monday evening.
 At the time they left the beer-hole it was very late in the night and as such GVH Shawa told the victim he could lodge at his house. As the victim was deep in sleep and drunk, GVH Shawa and friends took advantage and cut off the victim's penis. After the evil act, the house the victim was in was set on fire to make it look like an accident.

However, the fire was noted immediately by people leaving nearby and when they rushed to the scene, they found the victim lying in a pull of blood and was immediately rescued. Powerd by Yona Maro.
  


Kwa habari za Matukio Kitaifa, Kimataifa, Michezo na Burudani, Ungana nami kupitia Link zifuatazo hapo chini.

    

In order you follow me just click one of the Icon Button above.

Usikose kuangalia Movies mbalimbali kutoka kila kona ya dunia, bofya kwenye picha iliyopo hapo chini kuona izo muvies
Nobody is a total failure if he dares to try to do something worthwhile. Tough times never last, but tough people do. The place broke up with applause. Those thirty - five hundred farmers who had lost hope and had battled depression found that hope.

Share habari hii kadri uwezavyo.

Contact us on mutalemwa.oesmo@gmail.com. Powered by Blogger.
© Copyright Mutalemwa Blog
Back To Top