Featured

    Featured Posts

    Social Icons


Loading...

HELIKOPITA YA JOSEPHAT GWAJIMA YAZINDULIWA SIKU YA LEO

Naomba nikushirikishe na wewe pia kwamba kuna mambo mengi na mazuri ndapi ya picha iliyopo hapo chini ibofye uone.

Helikopita ya Mchungaji wa kanisa la ufufuo na uzima, Josephat Gwajima imezinduliwa siku ya leo katika viwanja vya Tanganyika Packers, vilivyoko kawe jijini dar es salaam, na kuhudhuliwa na maaskofu wa makanisa mbalimbali wa madhehebu ya Kikristo hapa nchini Tanzania.


Uzinduzi huo pia uliohudhuliwa na Mbunge wa Monduli Bwa. Edward Lowassa ambaye alikuwa ndiye mgeni rasmi wa uzinduzi huo,  pia uzinduzi huo uliendana na kukata utepe kisha kuirusha helikopta hiyo angani kama ishara ya kuanza kazi rasmi ya kutoa msaada wa usafiri wa haraka wakati wa dharura na kuhubiri injili kupitia helikopta hiyo.
  


Kwa habari za Matukio Kitaifa, Kimataifa, Michezo na Burudani, Ungana nami kupitia Link zifuatazo hapo chini.

    



In order you follow me just click one of the Icon Button above.
Usikose kuangalia Movies mbalimbali kutoka kila kona ya dunia, bofya kwenye picha iliyopo hapo chini kuona izo muvies
Nobody is a total failure if he dares to try to do something worthwhile. Tough times never last, but tough people do. The place broke up with applause. Those thirty - five hundred farmers who had lost hope and had battled depression found that hope.

Share habari hii kadri uwezavyo.

Contact us on mutalemwa.oesmo@gmail.com. Powered by Blogger.
© Copyright Mutalemwa Blog
Back To Top