Featured

    Featured Posts

    Social Icons


Loading...

EDWARD LOWASSA ATOBOA JIPU JUU YA SAKATA LA ESCROW

Naomba nikushirikishe na wewe pia kwamba kuna mambo mengi na mazuri ndapi ya picha iliyopo hapo chini ibofye uone.
Kutokana na sakata zima la ufisadi wa ishu ya Tegeta Escrow account kuendelea kuchukua sura mpya kila kukicha, na wabunge wa chama cha mapinduzi kuonekana kulikingia kifua swala hili, Mhe. Edward Lowassa ameamua kupasua jipu kwa kupitia Twitter account yake na kusema kwamba: " Richmond hadi natimuliwa hakuna senti iliyokuwa imeibiwa, lakini hakuna aliyesimama kunitetea, leo watu wanatetea wizi wa waziwazi".

Na uku ikiendelea kuwa kama hivi kwa upande wa pili wa shillingi.


 


Kwa habari za Matukio Kitaifa, Kimataifa, Michezo na Burudani, Ungana nami kupitia Link zifuatazo hapo chini.

    

In order you follow me just click one of the Icon Button above.
Usikose kuangalia Movies mbalimbali kutoka kila kona ya dunia, bofya kwenye picha iliyopo hapo chini kuona izo muvies
Nobody is a total failure if he dares to try to do something worthwhile. Tough times never last, but tough people do. The place broke up with applause. Those thirty - five hundred farmers who had lost hope and had battled depression found that hope.

Share habari hii kadri uwezavyo.

1 maoni:

Hakuna Ukweli wowte .. hiyo sio TWEET ya LOWASSA. Huyo tu anayepost haya kwa jina la Lowassa amefungua account hiyo kwa lengo baya dhdi ya Lowassa ama ni mtu asiyejiambua

Reply
CodeNirvana
Contact us on mutalemwa.oesmo@gmail.com. Powered by Blogger.
© Copyright Mutalemwa Blog
Back To Top