Featured

    Featured Posts

    Social Icons


Loading...

DREVA WA BODABODA AUWAWA KWA KUCHINJWA SONA ZAIDI

Naomba nikushirikishe na wewe pia kwamba kuna mambo mengi na mazuri ndapi ya picha iliyopo hapo chini ibofye uone.

Wimbi la mauaji yanayohusishwa na matukio ya mafumanizi yanazidi kushika kasi mkoani hapa ambapo mwishoni mwa wiki iliyopita dereva mwingine wa bodaboda aliyetajwa kwa jina moja la Kambi (33), anadaiwa kuchinjwa na kufa papohapo huku kifo chake kikihusishwa na matukio hayo.


 Marehemu Kambi enzi za uhai wake.

Tukio hilo lilitokea juzikati majira ya saa 11:00 alfajiri ambapo mwili wa bodaboda huyo uliokotwa maeneo ya Modeko jirani na Makutano ya Barabara za lringa na Mazimbu na kusababisha mkewe kuchanganyikiwa huku ndugu wakiwa hawaamini.


Ndugu wa marehemu Kambi.

Kufuatia hali hiyo baadhi ya watu walioshuhudia tukio hilo, walidai huenda jamaa huyo alifumaniwa na mke wa mtu kwani mara ya mwisho alionekana akiwa amempakiza mwanamke hivyo kuna madai kwamba mwenye mali hakuwa na sababu ya kuchukua chochote zaidi ya kumtoa roho.Majira ya saa 12:00 asubuhi, polisi walifika eneo hilo la tukio na kuuchukua mwili wa marehemu na kuupeleka mochwari kwenye Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Morogoro.

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Morogoro, SACP Leonard Paul.

Baada ya tukio hilo, mwanahabari wetu kusaka undani wa kifo cha bodaboda huyo. Kwenye eneo la tukio, ilidaiwa kwamba jamaa huyo aliuawa katika tukio lililohusisha fumanizi la mke wa mtu kwani baada ishu hiyo wahusika walitoka nduki bila kuchukua Kamanda wa Polisi Mkoa wa Morogoro, SACP Leonard Paul alithibitisha kutokea kwa mauaji hayo.


Mke wa marehemu akiwa mwenye huzuni kubwa.

Muda mfupi baada ya tukio hilo, mwanahabari wetu alifika eneo la tukio na kuushuhudia mwili wa jamaa huyo ukiwa umetupwa lakini hawakuchukua chochote kutoka kwa marehemu huku wakimwachia bodaboda yake na waleti ikiwa na fedha taslimu shilingi laki 240,000.

  


Kwa habari za Matukio Kitaifa, Kimataifa, Michezo na Burudani, Ungana nami kupitia Link zifuatazo hapo chini.

    

In order you follow me just click one of the Icon Button above.
Usikose kuangalia Movies mbalimbali kutoka kila kona ya dunia, bofya kwenye picha iliyopo hapo chini kuona izo muvies
Nobody is a total failure if he dares to try to do something worthwhile. Tough times never last, but tough people do. The place broke up with applause. Those thirty - five hundred farmers who had lost hope and had battled depression found that hope.

Share habari hii kadri uwezavyo.

Contact us on mutalemwa.oesmo@gmail.com. Powered by Blogger.
© Copyright Mutalemwa Blog
Back To Top