Kama ilivyo ada yangu, waga sifichi maovu ambayo najua ata mimi yanaweza kuja kuniaribia familia yangu. Story nzima ilikuwa hivi, Kuna mama mmoja ambaye mume wake alikuwa na kimada huko nje ambapo kimada huyo tayari ameza mtoto na baba huyo ambaye ni mume wa mtu.
Inavyodaiwa nikwamba baba huyo alikuwa hapeleki matumizi ya kutosha nyumbani kwake ambapo ni kwa mkewe wa ndoa, kisha matumizi yote alikuwa tayari kasha ya amishia kwa kimada chake. Baada ya mkewe wa ndoa kulalamika sana aliamua kumfatilia mumewe ili ajue pesa zote waga zinakwenda wapi, hapo ndipo mama huyo alipo kuja kufichua uozo ambao si wakawaida.
Kwa habari za Matukio Kitaifa, Kimataifa, Michezo na Burudani, Ungana nami kupitia Link zifuatazo.
FACEBOOK >>> TWITTER >>> MATUKIO >> MUSIC MPYA