Featured

    Featured Posts

    Social Icons


Loading...

APELEKWA HOSPITALI BAADA 'MASHINE' KUSIMAMA MASAA 17

Naomba nikushirikishe na wewe pia kwamba kuna mambo mengi na mazuri ndapi ya picha iliyopo hapo chini ibofye uone.
Mfanyakazi mmoja wa hoteli nchini Uingereza alilazimika kutoa painti mbili za damu (Takriban lita moja) kutoka kwenye uume wake- baada ya kusimama kwa muda wa saa 17 mfululizo.


Madaktari kwanza walijaribu kupunguza kasi ya damu kwa kijana huyo, Jason Garnett, kwa kupiga sindano 24 moja kwa moka kwenye nyeti zake.
Tovuti ya Metro imesema 'mashine' ilisimama kuanzia siku ya Ijumaa asubuhi alipoamka. Kijana huyo, 23, alijaribu kila aina ya njia, ikiwemo kukimbia, na kuoga maji ya baridi sana, kabla ya kupelekwa hospitali na rafiki yake. 

Hospitali iligundua kuwa Garnett alikuwa na maradhi ambayo ni haba kuonekana yajulikanayo kama priapism - ambapo uume husimama bila kukoma. Maradhi hayo hayasababishwi na hamu ya kutaka kufanya mapenzi, lakini iwapo mtu hatopata tiba, inaweza kuharibu uume, imeripoti tovuti ya News.com.au.

Akizungumza na gazeti la The Sun, amesema: "Yaani kuishia hospitali na jambo hili, ni moja ya siku ya aibu zaidi kwangu duniani. "Kuona wakichoma sindano 'mashine' yangu ilikuwa jambo gumu sana kwangu- kama kutazama filamu ya kutisha. Maumivu yalikuwa asilimia 100." 
Amesema baada ya sakata hilo, nyeti yake ina majeraha 'kibao'.
  


Kwa habari za Matukio Kitaifa, Kimataifa, Michezo na Burudani, Ungana nami kupitia Link zifuatazo hapo chini.

    


In order you follow me just click one of the Icon Button above.
Usikose kuangalia Movies mbalimbali kutoka kila kona ya dunia, bofya kwenye picha iliyopo hapo chini kuona izo muvies
Nobody is a total failure if he dares to try to do something worthwhile. Tough times never last, but tough people do. The place broke up with applause. Those thirty - five hundred farmers who had lost hope and had battled depression found that hope.

Share habari hii kadri uwezavyo.

Contact us on mutalemwa.oesmo@gmail.com. Powered by Blogger.
© Copyright Mutalemwa Blog
Back To Top