Featured

    Featured Posts

    Social Icons


Loading...

WIZI WA WATOTO NA WATU WAZIMA WAZIDI KUPAMBA MOTO

Naomba nikushirikishe na wewe pia kwamba kuna mambo mengi na mazuri ndapi ya picha iliyopo hapo chini ibofye uone.
Ndugu zangu, hii ni habari ya kusikitisha sana ambayo imenifikia ivipunde kutoka kwa mdau wangu ambaye ni mkazi wa Mbagala Kizuiani jijini Dar es salaam.

Ambapo inaripotiwa kuwa watoto wawili ambao ni wanafunzi wa darasa la kwanza katika shule ya msingi Kizinga wamechukuliwa na watu wasiojulikana getini kwenye eneo la shule, huku mlinzi akiachwa na majeraha baada ya kujaribu kupambana na waharifu hao.

Kwa mujibu wa habari amesema kwamba, hili sio tukio la kwanza kutokea maeneo ya Mbagala japo waga wanakosa hata mahali pakulipoti matukio haya, mbali ya kuwepo na kituo cha polisi lakini bado tatizo hili linaendelea tu bila uwoga.

Mpaka sasa watoto 16 wamechukuliwa na watu wasiojulikana huko Mbagala, ambapo shule ya msingi Kizinga watoto wawili, shule ya msingi Saku watoto wawili, Mbagal rangi tatu watoto wawili, shule ya msingi watoto tisa ambao wanadaiwa kupotea ndani ya wiki hii, huku mtoto mmoja alichunwa ngozi siku ya jana maeneo ya Keko jijini Dar es salaam.

Pia imeripotiwa kuwa mama mmoja amenusulika kupotea baada ya kuomba lifti ya gari kwa mtu asije mjua, bado na ili tukio ni ndani ya mbagala. Jamani Ndugu zangu, wakubwa kwa wadogo tuweni makini sana maana khali imebadilika sana.



Kwa habari za Matukio Kitaifa, Kimataifa, Michezo na Burudani, Ungana nami kupitia Link zifuatazo.

 FACEBOOK >>> TWITTER  >>> MATUKIO >>  MUSIC MPYA
Usikose kuangalia Movies mbalimbali kutoka kila kona ya dunia, bofya kwenye picha iliyopo hapo chini kuona izo muvies
Nobody is a total failure if he dares to try to do something worthwhile. Tough times never last, but tough people do. The place broke up with applause. Those thirty - five hundred farmers who had lost hope and had battled depression found that hope.

Share habari hii kadri uwezavyo.

Contact us on mutalemwa.oesmo@gmail.com. Powered by Blogger.
© Copyright Mutalemwa Blog
Back To Top