Featured

    Featured Posts

Loading...

VITENDO VYA UNYANYASAJI WA WATOTO VYAZIDI KUSHAMIRI

Naomba nikushirikishe na wewe pia kwamba kuna mambo mengi na mazuri ndapi ya picha iliyopo hapo chini ibofye uone.
Mkazi mmoja kutoka mkoani Kigoma kwa jina Mateso,anadaiwa kuwatesa watoto wake wawili ambao wanakadriwa kuwa na umri kati ya miaka minne na minane kwa takribani miezi tisa.


Kwa sasa watotot hao wamefikishwa katika hospitali ya mkoa Maweni ili kufanyiwa uchunguzi wa kina juu ya afya zao, watoto walipo ojiwa walisema kwamba baba yao alikuwa anawafungia ndani na pia alikuwa hawapi chakula.

Wasikilize


Mtoto wa baba huyo ambaye kwajina ni Zuberi Mateso,alisema manyanyaso hayo yalianza baada ya mama yao mzazi Fauzi Zuberi kufukuzwa nyumbani na baba yake, kisha baba yao huyo kuoa mwanamke mwingine.


Jeshi la polisi mkoani Kigoma limedhibitisha kutokea kwa tukio hilo na uku jeshi hilo likieleze kukamatwa kwa mtuhumiwa huyo na kufikishwa mahakamani kwa ajili ya kufunguliwa mashtaka.


Kwa habari za Matukio Kitaifa, Kimataifa, Michezo na Burudani, Ungana nami kupitia Link zifuatazo.

 FACEBOOK >>> TWITTER  >>> MATUKIO >>  MUSIC MPYA
Usikose kuangalia Movies mbalimbali kutoka kila kona ya dunia, bofya kwenye picha iliyopo hapo chini kuona izo muvies
Nobody is a total failure if he dares to try to do something worthwhile. Tough times never last, but tough people do. The place broke up with applause. Those thirty - five hundred farmers who had lost hope and had battled depression found that hope.

Share habari hii kadri uwezavyo.

Contact us on mutalemwa.oesmo@gmail.com. Powered by Blogger.
© Copyright Mutalemwa Blog
Back To Top