Siku zote watoto wa kike ni watu wa kukalili, kwaiyo sidhani kama tatizo hili la kuaribu mwenendo mzuri wa mtu mwingine kama litaweza kuisha hapa duniani.
Mimi waga nashindwa kuelewa, sijui nikwanini mpaka mtoto kufikia hatua hii, wazazi tunakuwa wapi? ebu tazama kipande cha video hii hapo chini kisha nime maoni yako juu ya kile ulicho kiona. je nani wa kulaumiwa kati ya mzazi wa kiume au mzazi wa kike au wote kwa pamoja?
Share kwa ndugu jamaa na marafiki zako sasa.
Kwa habari za Matukio Kitaifa, Kimataifa, Michezo na Burudani, Ungana nami kupitia Link zifuatazo.