Featured

    Featured Posts

Loading...

MTOTO AFARIKI DUNIA KWA KUPIGWA NA RADI HUKO BUKOBA

Naomba nikushirikishe na wewe pia kwamba kuna mambo mengi na mazuri ndapi ya picha iliyopo hapo chini ibofye uone.
Mtoto mmoja aliyefahamika kwa jina la Zuwena Muksini, amefariki dunia baada ya kupigwa na radi katika kijiji cha Katoma Wilaya ya Bukoba (V) Mkoani Kagera.

Tukio hilo lilitokea jana majira ya saa nne asubuhi, huku chanzo cha tukio hilo kikiwa ni mvua zinazoendelea kunyesha mkoani humo.Kwa habari za Matukio Kitaifa, Kimataifa, Michezo na Burudani, Ungana nami kupitia Link zifuatazo.

 FACEBOOK >>> TWITTER  >>> MATUKIO >>  MUSIC MPYA
Usikose kuangalia Movies mbalimbali kutoka kila kona ya dunia, bofya kwenye picha iliyopo hapo chini kuona izo muvies
Nobody is a total failure if he dares to try to do something worthwhile. Tough times never last, but tough people do. The place broke up with applause. Those thirty - five hundred farmers who had lost hope and had battled depression found that hope.

Share habari hii kadri uwezavyo.

Contact us on mutalemwa.oesmo@gmail.com. Powered by Blogger.
© Copyright Mutalemwa Blog
Back To Top