Featured

    Featured Posts

Loading...

KAMA WEWE NI MFANYAKAZI, BASI SIKILIZA UJUMBE HUU LEO

Naomba nikushirikishe na wewe pia kwamba kuna mambo mengi na mazuri ndapi ya picha iliyopo hapo chini ibofye uone.
Mbali ya kuwa ni wasanii wa kikundi cha uchekeshaji nchini Tanzania kutoka jiji lenye miamba, nikimaanisha jiji la Mwanza, wao wanajulikana kama Futuhi, kipindi hiki cha Futuhi urushwa kwenye kituo kikubwa sana hapa nchinikijulikanacho kwa jina la Startv.


Wasanii hawa wamemua kuwakilisha ujumbe mzito kwenye sekta husika zinazojiusisha na masuala ya haki za wafanyakazi, na kuweka wazi kabisa uozo wanaokutananao baadhi ya wafanyakazi. Sikiliza kile walichokisema juu ya sekta izi, kwa kubofya kwenye link ifuatayo hapo chini.


=======================================================Kwa habari za Matukio Kitaifa, Kimataifa, Michezo na Burudani, Ungana nami kupitia Link zifuatazo.

 FACEBOOK >>> TWITTER  >>> MATUKIO >>  MUSIC MPYA
Usikose kuangalia Movies mbalimbali kutoka kila kona ya dunia, bofya kwenye picha iliyopo hapo chini kuona izo muvies
Nobody is a total failure if he dares to try to do something worthwhile. Tough times never last, but tough people do. The place broke up with applause. Those thirty - five hundred farmers who had lost hope and had battled depression found that hope.

Share habari hii kadri uwezavyo.

Contact us on mutalemwa.oesmo@gmail.com. Powered by Blogger.
© Copyright Mutalemwa Blog
Back To Top