Featured

    Featured Posts

    Social Icons


Loading...

KAMA UNASUMBULIWA NA MAUMIVU YA MGONGO SOMA HII

Naomba nikushirikishe na wewe pia kwamba kuna mambo mengi na mazuri ndapi ya picha iliyopo hapo chini ibofye uone.

Maumivu chini ya mgongo hutokea sana kwa kila mtu na mara nyingi huwa ni chini ya mbavu za nyuma na juu ya miguu na huweza kusambaa mpaka kwenye kiuno na hips. Maumivu haya usikika na kuumiza pale unapoinua kitu, kusimama, kukaa kwenye kiti au kutembea na usababishwa na matumizi kupita kiasi ya misuli, kano, mishipa na neva za mgongoni au kwenye pingili za uti wa mgongo kutokana na kugandamizwa sana. Pia huweza kusababishwa na kuvunjika au maambukizi katika pingili za uti wa mgongo,  umri mkubwa, saratani ya mifupa,uzito kupita kiasi mawe katika figo, uvimbe na saratani ya kizazi .


TIBA YAKE
 Unaweza kujifanyia huduma ya kwanza mwenye kwa kutumia dawa za kupunguza maumivu, kuchua, kuweka barafu au joto kiasi, kufanya mazoezi mapesi na kukaa au kulala mtindo unaopunguza maumivu.

Punguza uzito, epuka kuanguka mara kwa mara  na usibebe mizigo mizito kupita kiasi au kaza sana tumbo unaponyanyua mizigo mizito, Usizunguke wakati au kuinamia mbele wakati umebeba vitu vizito, Usisimame kwa kubana miguu muda mrefu. Maumivu yakizidi fika hospitali ili kufanyiwa uchunguzi na vipimo vya X rays, CT scan na MRIs kwa ajili ya kugundua tatizo na kupata tiba zaidi.




Kwa habari za Matukio Kitaifa, Kimataifa, Michezo na Burudani, Ungana nami kupitia Link zifuatazo.

 FACEBOOK >>> TWITTER  >>> MATUKIO >>  MUSIC MPYA
Usikose kuangalia Movies mbalimbali kutoka kila kona ya dunia, bofya kwenye picha iliyopo hapo chini kuona izo muvies
Nobody is a total failure if he dares to try to do something worthwhile. Tough times never last, but tough people do. The place broke up with applause. Those thirty - five hundred farmers who had lost hope and had battled depression found that hope.

Share habari hii kadri uwezavyo.

Contact us on mutalemwa.oesmo@gmail.com. Powered by Blogger.
© Copyright Mutalemwa Blog
Back To Top