Featured

    Featured Posts

    Social Icons


Loading...

IZI NI SIKU NNE ZA MAOMBEZI YA OMEGA KWA WAKAZI WA DAR

Naomba nikushirikishe na wewe pia kwamba kuna mambo mengi na mazuri ndapi ya picha iliyopo hapo chini ibofye uone.
Kama inavyojionesha hapo juu kwenye picha, iyo ndio hali halisi, kutakuwepo na maombezi ya nguvu kwa watu wa dini zote pale katika kanisa la Ukombozi Tegeta.

Watu wa dini zote mnakaribishwa sana kwenye maombezi haya.

Sambaza ujumbe huu wa watu wote nao ili waweze kupata habari hii.


Kwa habari za Matukio Kitaifa, Kimataifa, Michezo na Burudani, Ungana nami kupitia Link zifuatazo.

 FACEBOOK >>> TWITTER  >>> MATUKIO >>  MUSIC MPYA
Usikose kuangalia Movies mbalimbali kutoka kila kona ya dunia, bofya kwenye picha iliyopo hapo chini kuona izo muvies
Nobody is a total failure if he dares to try to do something worthwhile. Tough times never last, but tough people do. The place broke up with applause. Those thirty - five hundred farmers who had lost hope and had battled depression found that hope.

Share habari hii kadri uwezavyo.

Contact us on mutalemwa.oesmo@gmail.com. Powered by Blogger.
© Copyright Mutalemwa Blog
Back To Top