Featured

    Featured Posts

Loading...

ADHA WANAYOIPATA WANAFUNZI WA S/MSINGI UHAMBILA

Naomba nikushirikishe na wewe pia kwamba kuna mambo mengi na mazuri ndapi ya picha iliyopo hapo chini ibofye uone.
Shule hii ya Uhambila inapatikana katika kata ya Igumbavanu,halimashauli ya wilaya ya Mufindi mkoani Iringa. kwenye hule hii wanafunzi pamoja na walimu wao wamekuwa wakikabiliwa na tatizo la uhaba wa vitendeakazi shuleni hapo, ikiwemo uchakavu wa majengo, ukosefu wa madawati pamoja na vifaa vingine.

Shule hii iko umbali wa kilomita 120 kutoka Iringa mjini,ambapo imetoa huduma ya elimu kwa wanafunzi zaidi ya miaka 35 mpaka sasa maana ilijengwa miaka ya 70.

ADHA WANAYOIPATA WANAFUNZI WA SHULE YA MSINGI UHAMBILA

Mpaka sasa baadhi ya wanafunzi wanasomea kwenye darasa ambalo limejengwa kwa udongo na kuezekwa kwa nyasi, uku wakiamini kuwa elimu ni msingi wa maisha kwa wanafunzi hawa,kiukweli utoaji wa elimu katika mazingira haya unakinzana na sela ya elimu nchini,inayotaka shule iwe katika mazingira bora yenye majengo mazuri pamoja na vitendeakazi vyakutosha ili kuwavutia waalimu pamoja na wanafunzi wake, jambo ambalo nikinyume kwenye shule hii ya Uhambila.

Mwalimu mkuu Joseph Matingo amesema kwamba watoto wanalazimika kukalia madawati yaliyotengenezwa kwa mchanganyiko wa nyasi pamoja na udongo yanayofaamika kama Adobe, japo kwa sasa madawati hayo yamevunjwa. 

Wafuatao ni viongozi pamoja na wanafunzi walioshiliki kutoa maoni yao juu ya tatizo linaloikumba shule hii ya Uhambila, wasikilize sasa kupitia hapo chini.


1. Joseph Matingo, huyu ni mwalimu mkuu wa shule tajwa hapo juu.
2. Fraico Ngimba, huyu ni mwanafunzi wa shuleni hapoa
3. Reinia Chalamila, huyu naye ni mwanafunzi
4. Zavery Ngimba, huyu ni mwalimu mkuu msaidizi shuleni hapo
5. Athanas Chatila, huyu ni mtendaji wa kijiji cha Uhambila
6. Rashid Kuvasa, huyu ni diwani wa kata ya Igombavanu
7. Farida Mwasumilwe, huyu ni afisa elimu mufindi
8. Peter Tweve, huyu ni mwenyekiti wa halimashauri wilaya ya Mufindi
9. Mhe. Mahamoud Mgimwa, huyu ni naibu waziri wa maliasili na utalii


Kwa habari za Matukio Kitaifa, Kimataifa, Michezo na Burudani, Ungana nami kupitia Link zifuatazo.

 FACEBOOK >>> TWITTER  >>> MATUKIO >>  MUSIC MPYA

Usikose kuangalia Movies mbalimbali kutoka kila kona ya dunia, bofya kwenye picha iliyopo hapo chini kuona izo muvies
Nobody is a total failure if he dares to try to do something worthwhile. Tough times never last, but tough people do. The place broke up with applause. Those thirty - five hundred farmers who had lost hope and had battled depression found that hope.

Share habari hii kadri uwezavyo.

Contact us on mutalemwa.oesmo@gmail.com. Powered by Blogger.
© Copyright Mutalemwa Blog
Back To Top