UKAWA KUFANYA MAANDAMANO NCHI NZIMA KUANZIA WIKI IJAYO YASIYOKUWA NA RATIBA WALA KIKOMO.
Mhe James Mbati akisoma Tamko la UKAWA kwa niaba ya Mchumi wa Kimataifa Prof Ibrahim Lipumba na Freeman Mbowe "Maandamano Nchi nzima na Mikutano ya Hadhara kwa ajili ya kuhamasisha watu kupinga matumizi mabaya ya Fedha za Wananchi katika Mchakato wa Bunge Maalum la Katiba."
Mhe; Mbatia ameendelea kusema "Baada ya kukamilika kwa Mazungumzo yanayoendelea na CCM wiki hii.Hata hivyo Ukawa wamesema,kwa kadiri mazungumzo yanavyoendelea hakutakuwa na tija hivyo ameamua kuweka wazi azma ya kufanya maandamano"
Professa Lipumba amerudia WITO wake wa kuwataka VIJANA kuanza mazoezi ya VIUNGO kwajili ya ukombozi.
Freeman Mbowe amesema NGUVU ya UMMA sasa kutumika ili kuleta UKOMBOZI hakuna kulala mpaka kieleweke kuanzia wiki ijayo.
Ni MAANDAMANO ni MAANDAMANO mpaka Mkoloni mweusi atupatie KATIBA yetu.
Ikumbukwe JINI likitoka kwenye CHUPA huwa halirudi ndani ya CHUPA serikali 3 ni lazima sio ombi tena.
Jiunge na mi kwa kubonyeza kwenye link zifuatazo chini ili kupata habari mpya zaidi.
FACEBOOK >>> TWITTER >>> MATUKIO KWA NJIA YA SAUTI