Featured

    Featured Posts

    Social Icons


Loading...

RAIS SHEIN AFUNGUA MAONYESHO YA NANE NANE LINDI

Naomba nikushirikishe na wewe pia kwamba kuna mambo mengi na mazuri ndapi ya picha iliyopo hapo chini ibofye uone.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akikata utepe kama ishara ya uzinduzi wa Maonesho ya kilimo ya nane nane kitaifa mwaka huu katika viwanja vya Ngongo Mkoani Lindi leo.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akipata maelezo katika banda la sekta ya Afya katika maonesho ya kilimo ya nane nane kitaifa yanayofaanyika Mkoani Lindi katika viwanja vya Ngongo.


Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akipata maelezo kutoka kwa Meneja Biashara na Masoko Numwagile A.Mwaijumba wa Shirika la Nyumbu kuhusu mashine ya utengenezaji wa matofali ya udongo katika maonesho ya kilimo ya nane nane kitaifa yanayofaanyika Mkoani Lindi katika viwanja vya Ngongo.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akipata maelezo kutoka kwa Dk.Geoffrey Mkamito Mtafiti wa Mazao ya Mizizi, katika banda la Bodi ya Korosho katika maonesho ya kilimo ya nane nane kitaifa yanayofaanyika Mkoani Lindi katika viwanja vya Ngongo.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akipata maelezo katika banda la Benki kuu ya Tanzania BOT katika maonesho ya kilimo ya nane nane kitaifa Mkoani Lindi katika viwanja vya Ngongo.


Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akizungumza na wananchi wa manispaa ya Lindi Mjini na Vitongoji vyake baada ya kuzindua rasmi maonesho ya kilimo ya nane nane kitaifa katika viwanja vya Ngongo leo Mkoani Lindi.

Jiunge na mi kwa kubonyeza kwenye link zifuatazo chini ili kupata habari mpya zaidi. 
          FACEBOOK >>> TWITTER  >>> MATUKIO KWA NJIA YA SAUTI
Usikose kuangalia Movies mbalimbali kutoka kila kona ya dunia, bofya kwenye picha iliyopo hapo chini kuona izo muvies
Nobody is a total failure if he dares to try to do something worthwhile. Tough times never last, but tough people do. The place broke up with applause. Those thirty - five hundred farmers who had lost hope and had battled depression found that hope.

Share habari hii kadri uwezavyo.

Contact us on mutalemwa.oesmo@gmail.com. Powered by Blogger.
© Copyright Mutalemwa Blog
Back To Top