Featured

    Featured Posts

Loading...

MTOTO MPAKA KUFIKIA HATUA HII NANI WAKULAUMIWA?

Naomba nikushirikishe na wewe pia kwamba kuna mambo mengi na mazuri ndapi ya picha iliyopo hapo chini ibofye uone.
MTOTO MPAKA KUFIKIA HATUA HII NANI WAKULAUMIWA?


Mwanadada Uwoya ameamua kuweka wazi baadhi ya sehemu za mwili wake kama unavyo jionea pichani hapo juu. Ila kuna swali najiuliza, ivi mpaka mtoto kufikia hatua yanamna hii nani anatakiwa kulaumiwa?

Maana watoto wasiku izi wote wamekuwa natabia ambazo kiukweli hazipendezi kabisa, hapa naongelea kwa pande zote mbili (watoto wa kiume pamoja na watoto wa kike)

A) Wazazi ndio wa kulaumiwa?
                B) Mtoto mwenyewe ndiye wa kulaumiwa?

Kiukweli nahitaji kupata mwongozo wa majibu yenu, maana mimi kichwa kimejaribu kuchanganua jambo hili lakini bado sijapata majibu ya kuniridhisha.

Jiunge na mi kwa kubonyeza kwenye link zifuatazo chini ili kupata habari mpya zaidi. 
          FACEBOOK >>> TWITTER  >>> MATUKIO KWA NJIA YA SAUTI

Usikose kuangalia Movies mbalimbali kutoka kila kona ya dunia, bofya kwenye picha iliyopo hapo chini kuona izo muvies
Nobody is a total failure if he dares to try to do something worthwhile. Tough times never last, but tough people do. The place broke up with applause. Those thirty - five hundred farmers who had lost hope and had battled depression found that hope.

Share habari hii kadri uwezavyo.

Contact us on mutalemwa.oesmo@gmail.com. Powered by Blogger.
© Copyright Mutalemwa Blog
Back To Top