Featured

    Featured Posts

Loading...

MASHEIKH KUMI NA TISA WAMTEMBELEA DR.SILAA LEO

Naomba nikushirikishe na wewe pia kwamba kuna mambo mengi na mazuri ndapi ya picha iliyopo hapo chini ibofye uone.
MASHEIKH KUMI NA TISA WAMTEMBELEA DR.SILAA LEO

Dr.Slaa leo ametembelewa na viongozi wa dini ya kislaam Shura ya Maimam, ziara ya viongozi hao walikuja kumweleza dr slaa jinsi masheikh 19 wanaotuhumiwa kwa kesi ya ugaidi namna wanavyonyanyaswa na kuteswa na police.

viongozi hawa wanasema wamelazimika kufika kwa dr slaa kwa kuwa ni kiongozi wa watu wote bila kujali itikadi zao huku wakisisitiza kuwa ni kiongozi wa wanyonge na mpigania haki.

Hekima, busara na maarifa ndio vitu alivyojaliwa dr slaa na ndo maana unaona anapendwa sana na wananchi ususani wale wanyonge na wanaodhulumiwa haki zao.

Jiunge na mi kwa kubonyeza kwenye link zifuatazo chini ili kupata habari mpya zaidi. 
          FACEBOOK >>> TWITTER  >>> MATUKIO KWA NJIA YA SAUTI
Usikose kuangalia Movies mbalimbali kutoka kila kona ya dunia, bofya kwenye picha iliyopo hapo chini kuona izo muvies
Nobody is a total failure if he dares to try to do something worthwhile. Tough times never last, but tough people do. The place broke up with applause. Those thirty - five hundred farmers who had lost hope and had battled depression found that hope.

Share habari hii kadri uwezavyo.

Contact us on mutalemwa.oesmo@gmail.com. Powered by Blogger.
© Copyright Mutalemwa Blog
Back To Top