Featured

    Featured Posts

    Social Icons


Loading...

MAPENZI YAZUA KIZAA ZAA HUKO NCHINI CHINA

Naomba nikushirikishe na wewe pia kwamba kuna mambo mengi na mazuri ndapi ya picha iliyopo hapo chini ibofye uone.
Waswahili husema wivu ni kidonda ukiushiriki utakonda .kauli hii inakuja baada ya mwanamume mmoja kuua watu 6 baada ya mkewe kujihusisha na wanaume hao kingono,kutokana na tukio hilo mwanamume huyo amehukumiwa adhabu ya kifo nchini China.
Shao Zongqi, mwenye umri wa miaka 38 alikutwa na hatia baada ya kutekeleza mauaji hayo mwezi January mwaka huu, alipoua katika mji wa Yunnan.

Kwa muujibu wa mahakama,Shao alipanga kulipiza kisasi baada ya kugundua kua mkewe alikua na mahusiano na wanaume wawili tofauti,shirika la habari la Xinhua limeeleza hayo.
Wakati wa sherehe za mwaka mpya wa kichina,Shao alijeruhi wanaume tisa, na kumuua mmoja pamoja na familia yake na wanaume wengine wawili wa jirani,wakati mwanamume mmoja akiwa na mkewe na mtoto wao wa kiume walinusurika katika tukio hilo.

Wakati hukumu hiyo ikitolewa siku ya jumatatu, iliamuriwa Shao alipe kiasi cha yuani 604,000/- sawa na dola za kimarekani 98,000/- kwa familia walio hai ambao waliondokewa na jamaa zao kutokana na shambulio hilo.Pamoja na kulipa faini hiyo Shao ameapa kukata rufaa kutokana na hukumu hiyo ya kifo inayomkabili.

Jiunge na mi kwa kubonyeza kwenye link zifuatazo chini ili kupata habari mpya zaidi. 
          FACEBOOK >>> TWITTER  >>> MATUKIO KWA NJIA YA SAUTI

Usikose kuangalia Movies mbalimbali kutoka kila kona ya dunia, bofya kwenye picha iliyopo hapo chini kuona izo muvies
Nobody is a total failure if he dares to try to do something worthwhile. Tough times never last, but tough people do. The place broke up with applause. Those thirty - five hundred farmers who had lost hope and had battled depression found that hope.

Share habari hii kadri uwezavyo.

Contact us on mutalemwa.oesmo@gmail.com. Powered by Blogger.
© Copyright Mutalemwa Blog
Back To Top