Featured

    Featured Posts

    Social Icons


Loading...

MSANII WA MAIGIZO AGUSIA MAADILI KWA WATOTO

Naomba nikushirikishe na wewe pia kwamba kuna mambo mengi na mazuri ndapi ya picha iliyopo hapo chini ibofye uone.
Kumbe kujifunza sio lazima kuingia darasani, hayo yameji dhiilisha baada ya msanii Brother "K" kutoka kwenye kundi la wachekeshaji maarufu kama Futuhi, alipo amua kuweka wazi kwamba wazazi ndio tumekuwa chanzo cha kuaribu maadili ya watoto wetu.

kushoto kwako ndiye msanii tajwa hapo juu kwenye kichwa cha habari, hapa akiwa na msanii mwenzake ambaye kwa jina la mchezo anafahamika kama Evodia.


Futuhi nikipindi kinachopendwa na watu wengi hapa nchini kwa sababu ya ubunifu wanao utumia katika kufanya kazi zao, lakini mbali na kuchekesha kwao, wanatoa elimu ya moja kwa moja kwa njia ya vichekesho hivyo. 



Brother K akiwa na Rutashobya mjukuu wa Kaitoju

Sasa msikilize msanii huyo alivyo sema kuhusiana na maadili kwa watoto, bonyeza kwenye link ifuatayo hapo mbele kumsikiliza >>WASANII WA BONGO <<

Jiunge na mi kwa kubonyeza kwenye link zifuatazo chini ili kupata habari mpya zaidi. 
                  FACEBOOK >>> TWITTER  >>> MATUKIO KWA NJIA YA SAUTI
Usikose kuangalia Movies mbalimbali kutoka kila kona ya dunia, bofya kwenye picha iliyopo hapo chini kuona izo muvies
Nobody is a total failure if he dares to try to do something worthwhile. Tough times never last, but tough people do. The place broke up with applause. Those thirty - five hundred farmers who had lost hope and had battled depression found that hope.

Share habari hii kadri uwezavyo.

Contact us on mutalemwa.oesmo@gmail.com. Powered by Blogger.
© Copyright Mutalemwa Blog
Back To Top