katika kuchangia bajeti ya taifa kwa mwaka 2014 hadi 2015, wabunge wengi walionekana kuipinga bajeti hiyo kwa sababu ya kwamba haiwatendei haki wananchi wakawaida. ila wapo walio kubaliana na nayo kabisa tena kwa asilimia mia moja.
Nisimalize huondo wa habari hii ebu wasikilize wabunge hawa kile walicho kisema kwa kubonyeza HAPA kisha toa maoni yako juu ya kile utakacho kisikia kwenye mjadara huu. Nimalize kwa kusema Naipenda Tanzania.
Jiunge na mi kwa kubonyeza kwenye link zifuatazo chini ili kupata habari mpya zaidi.