Featured

    Featured Posts

    Social Icons


Loading...

MHUDUMU WA BAA ASABABISHA KIFO CHA DREVA SINGIDA.

Naomba nikushirikishe na wewe pia kwamba kuna mambo mengi na mazuri ndapi ya picha iliyopo hapo chini ibofye uone.

DEREVA AFIA GESTI WAKATI AKIWA NA MHUDUMU WA BAA

DEREVA wa Halmashauri ya Wilaya ya Iramba mkoani Singida Juma Juma (52) amefariki dunia wakati akifanya mapenzi na mwanamke mhudumu wa baa kwenye nyumba ya kulala wageni.

Kamanda wa Jeshi la Polisi Mkoa wa Singida,SACP Geofrey Kamwela amesema tukio hilo limetokea mei tatu mwaka huu saa nane za usiku chumba no.S.2 nyumba ya kulala wageni ijulikanayo kwa jina la Top Life New Kiomboi mjini.

Kamanda huyo amesema siku ya tukio kuwa dereva Juma aliondoka nyumbani kwake mida ya saa sita za usiku alimwaga mpangaji wake kuwa anatoka mara moja na hatachelewa kurudi nyumbani kwa hiyo alifunga mlango wa mbele ya nyumba.

Amesema kuwa masaa mawili baadaye Juma alionekana akiwa baa iliyoko kwenye nyumba hiyo la kulala wageni iliyoko umbali wa mita 50 kutoka nyumbani kwake.

“Muda huo Juma alionekana akiwa na mmoja wa wahudumu wa baa hiyo alitwaye Agness Mayo (32) anayesadikika kuwa na uhusinao wa kimapenzi na Juma.”

Kamwela amesema mhudumu huyo wa baa mpenzi wa Juma, alitoweka mei nne mwaka huu baada ya kuaga kwamba anakwenda kanisani na kutorokea kusikojulika.

Hata hivyo, ufunguo wa chumba alicholala Juma zilikutwa chumba cha kulala wahudumu wa baa.
Kamanda huyo amesema kuwa toka siku hiyo ya mei tatu chumba alicholala Juma hakikufunguliwa hadi mei tano mwaka huu na ndipo mwili wa dereva huyo ulipokutwa ukiwa umeharibika vibaya.


“Uchunguzi zaidi wa tukio hilo unaendelea ikiwa ni pamoja na kutafuta mhudumu aliyetoroka ili ahojiwe na kisha kufikishwa mahakamani kujibu tuhuma zinazomkabili endapo atabainika kuhusika na tukio hilo”,amesema Kamanda Kamwela.
Usikose kuangalia Movies mbalimbali kutoka kila kona ya dunia, bofya kwenye picha iliyopo hapo chini kuona izo muvies
Nobody is a total failure if he dares to try to do something worthwhile. Tough times never last, but tough people do. The place broke up with applause. Those thirty - five hundred farmers who had lost hope and had battled depression found that hope.

Share habari hii kadri uwezavyo.

Contact us on mutalemwa.oesmo@gmail.com. Powered by Blogger.
© Copyright Mutalemwa Blog
Back To Top