Featured

    Featured Posts

    Social Icons


Loading...

HII NDIYO SHOW YA REBECCA MALOPE MWANZA.

Naomba nikushirikishe na wewe pia kwamba kuna mambo mengi na mazuri ndapi ya picha iliyopo hapo chini ibofye uone.
Mwimbaji Mahiri wa muziki wa nyimbo za Kiroho a.k.a Injili, Rose Muhando akiimba wimbo wake mpya wa Facebook na Twitter mbele ya mashabiki wake,katika uwanja wa Kambarage mapema jana jioni hapa mkoani Shinyanga, ikiwa ni sehemu ya muendelezo wa tamasha la Pasaka.

Tamasha hilo linaloandaliwa na Msama Promotions Ltd  leo jumapili linaendelea katika uwanja wa CCM Kirumba pale jijiini Mwanza, ambapo Nyota wa Nyimbo za injili kutoka nchini Afrika Kusini, Rebecca Malope atawatumbuiza wakazi wa jiji hilo sambamba na waimbaji wengine.

 Mwimbaji wa nyimbo za Injili, Upendo Kilahiro akiimba mbele ya wapenzi wa muziki wa injili ndani ya uwanja wa Kambarage mjini Shinyanga.

  Sehemu ya wapenzi wa muziki wa injili wakifuatilia yaliyokuwa yakijiri uwanjani hapo. 

Upendo Nkone, ambaye amejizolea sifa kubwa kwa kuimba nyimbo za kusifu na kuabudu, akiwaimbisha mashabiki na wapenzi wa muziki wa injili ndani ya uwanja wa kambarage shinyanga jana jioni.
Usikose kuangalia Movies mbalimbali kutoka kila kona ya dunia, bofya kwenye picha iliyopo hapo chini kuona izo muvies
Nobody is a total failure if he dares to try to do something worthwhile. Tough times never last, but tough people do. The place broke up with applause. Those thirty - five hundred farmers who had lost hope and had battled depression found that hope.

Share habari hii kadri uwezavyo.

Contact us on mutalemwa.oesmo@gmail.com. Powered by Blogger.
© Copyright Mutalemwa Blog
Back To Top