Featured

    Featured Posts

    Social Icons


Loading...

GARI LACHOMWA MOTO NA KUTELEKEZWA BARABARANI.

Naomba nikushirikishe na wewe pia kwamba kuna mambo mengi na mazuri ndapi ya picha iliyopo hapo chini ibofye uone.

GARI LACHOMWA MOTO NA KUTELEKEZWA BARABARANI.

Gari lenye namba za Usajili T 671 AYH likiwa limeteketea kwa moto katika barabara ya Ali Hassan Mwinyi na kutelekezwa pembezoni Mwa barabara hiyo eneo la Moroco karibu na Mataa. Gari hilo ambalo kwasasa huwezi kulitambua ni aina gani ya gari limetekea lote na kupelekea kuwa kivutio kwa wapita njia wa barabara hiyo. Hapo wapita njia wakiliangalia gari hilo lililoteketea kwa moto.
 Wapita Njia wakiangalia gari lililoteketea kwa moto pembezoni mwa barabara ya Ali Hassan Mwinyi na kutelekezwa eneo la Moroco karibu na Mataa ya kuongozea magari
Kijana mpita Njia akilipiga picha
 Mmoja wa wapita njia akilikagua gari hilo lililoteketea kwa moto mapema leo na kutelekezwa pembezo mwa barabara ya Ali Hassan Mwinyi eneo la Moroco karibu na Mataa ya Kuongozea Magari.
Usikose kuangalia Movies mbalimbali kutoka kila kona ya dunia, bofya kwenye picha iliyopo hapo chini kuona izo muvies
Nobody is a total failure if he dares to try to do something worthwhile. Tough times never last, but tough people do. The place broke up with applause. Those thirty - five hundred farmers who had lost hope and had battled depression found that hope.

Share habari hii kadri uwezavyo.

Contact us on mutalemwa.oesmo@gmail.com. Powered by Blogger.
© Copyright Mutalemwa Blog
Back To Top