Featured

    Featured Posts

    Social Icons


Loading...

DIEGO COSTA NA FERNANDO TORRES WANG'ARA TENA.

Naomba nikushirikishe na wewe pia kwamba kuna mambo mengi na mazuri ndapi ya picha iliyopo hapo chini ibofye uone.
Mshambuliaji Diego Costa na Fernando Torres wametajwa kwenye kikosi cha bingwa mtetezi Uhispania chenye wachezaji 30 kwa ajili ya Kombe la Dunia.




Mshambuliaji wa Atletico Madrid Costa, 25, alizaliwa na kukulia nchini Brazil na kuichezea michezo miwili ya kirafiki kabla ya kuamua kukipiga Uhispania.
Torres pia amejumuishwa licha ya kuanza michezo 16 ya Premier League na kufunga magoli matano akiwa na Chelsea.
Vicente Del Bosque atatangaza wachezaji wake 23 hapo 25 May.
Mabingwa hao wa Ulaya 2008 na 2012, wataanza kampeni za kulitetea taji kwenye Kundi B wakiwa na Uholanzi Juni 13 kabla ya kukutana na Chile na Australia huku kikijumuisha wachezaji nane wa Premier League.



 Torres anajiunga na mchezaji mwenza wa Chelsea Cesar Azpilicueta, wakati Manchester City ikitoa wachezaji watatu David Silva, Alvaro Negredo na Jesus Navas.


Mchezaji wa Arsenal Santi Cazorla amejumuishwa pamoja na wachezaji wa Manchester United Juan Mata na David De Gea.
Lakini hakuna nafasi ya mshambuliaji wa Tottenham Roberto Soldado na kinda wa Real Madrid Isco.

Mlinda mlango wa Barcelona Victor Valdes hatokuwepo kwa sababu ya majeruhi ya goti huku De Gea akimpiku mlinda mlango namba moja wa Real Madrid Diego Lopez.

Wachezaji 11 wanatokea Barcelona na Real Madrid.
Kikosi kamili:
Walinda mlango: Iker Casillas (Real Madrid), Pepe Reina (Napoli), David De Gea (Manchester United).

Walinzi: Dani Carvajal, Sergio Ramos (both Real Madrid), Gerard Pique, Jordi Alba (both Barcelona), Cesar Azplicueta (Chelsea), Juanfran (Atletico Madrid), Javi Martinez (Bayern Munich), Raul Albiol (Napoli), Alberto Moreno (Sevilla).

Viungo: Sergio Busquets, Xavi Hernandez, Andres Iniesta, Cesc Fabregas (all Barcelona), Xabi Alonso (Real Madrid), Ander Iturraspe (Athletic Bilbao), David Silva (Manchester City), Santi Cazorla (Arsenal), Koke (Atletico Madrid), Tiago Alcantara (Bayern Munich), Juan Mata (Manchester United), Jesus Navas (Manchester City).

Washambuliaji: Diego Costa, David Villa (both Atletico Madrid), Alvaro Negredo (Manchester City), Pedro Rodriguez (Barcelona), Fernando Llorente (Juventus), Fernando Torres (Chelsea).


Jiunge na mi kwa kubonyeza kwenye link zifuatazo chini ili kupata habari mpya zaidi. 

        FACEBOOK >>> TWITTER  >>> MATUKIO KWA NJIA YA SAUTI
Usikose kuangalia Movies mbalimbali kutoka kila kona ya dunia, bofya kwenye picha iliyopo hapo chini kuona izo muvies
Nobody is a total failure if he dares to try to do something worthwhile. Tough times never last, but tough people do. The place broke up with applause. Those thirty - five hundred farmers who had lost hope and had battled depression found that hope.

Share habari hii kadri uwezavyo.

Contact us on mutalemwa.oesmo@gmail.com. Powered by Blogger.
© Copyright Mutalemwa Blog
Back To Top