Featured

    Featured Posts

    Social Icons


Loading...

CHANGAMOTO ZA MAISHA ALIZOPITIA DIDA.

Naomba nikushirikishe na wewe pia kwamba kuna mambo mengi na mazuri ndapi ya picha iliyopo hapo chini ibofye uone.
CHANGAMOTO ZA MAISHA ALIZOPITIA DIDA.

Akizungumza katika kipindi cha Mboni Show, akiwa nchini Uingereza, Dida alisema Q Chillah ndiye aliyemtumia ujumbe wa kumwacha.
“Nilimpigia simu akaniambia ‘najua wewe haupo Uingereza unanidanganya’ ,nikamwambia ‘nipo UK’,'akaniambia upo UK’? Hii code namba ya nchi gani?’, ‘nikamwambia kwani vipi?’Kuna muda kadi huwa zinatokea hivyo akakasirika akaniambia ‘upo kwa bwana yako’,nikamwambia ‘mimi siko huko’, nikawasiliana na baba yake mzee Katwila nikamwambia ‘baba, Q Chillah ananimbia hii namba siyo sahihi nifanyeje?’, baba yake mzee Katwila akaniambia ‘usiwe na wasiwasi mimi nitayamaliza’.

Ile hasira yake akampigia mama yangu kwakuwa yeye anapatana sana mama yangu. Kwahiyo akaenda akamlilia mama yangu, akamwambia mimi nimetoka nimeenda kwa wanaume sijui kitu gani wakati mimi nilienda kumtafutia vitu kwajili ya show na vitu vyake mwenyewe. Kwahiyo akampigia simu mama ‘oooh mimi anifanyia dharau sijui nini mimi namuacha’ Mama yangu akamwambia ‘mbona unachukua jukumu la nani, kwasasa hujui mwenzako anafanya nini huko’.

Akanitumia message sijui ‘mhuni unatoka UK sijui unaenda wapi bila kuniambia’, nikakubali kosa ‘nisamehe ila ongea na mzee akufahamishe vizuri’, akiniambia ‘sitaki tuongee na baba sitaki kufanya nini na wewe’ mwenyewe sitaki kukusikia’,basi hivyo ndivyo ilivyotokea,alisema Dida.

Hata hivyo Dida amesema kwasasa hamwitaji tena kimapenzi Q Chillah ila anammiss kimazoea kwakuwa waliishi pamoja na kuzoeana.

Amedai alijitahidi sana kutuma pesa kwa Q Chillah ili zimsaidie kuachana na matumizi ya madawa wa kulevya. “Kuna watu nilikuwa nawapa pesa ili wampe Q Chillah aachane na matumizi ya madawa ya kulevya,ila sikutaka watu wamwambie kama nimetuma mimi, 
pia kuna watu wanadai eti mimi ndio nimesababisha Q Chillah atumie madawa,” alisema Dida ambaye kwa sasa anamiliki kampuni ya Dida Entertainment wakati makazi yake yakiwa ni huko nchini Uingereza.
Usikose kuangalia Movies mbalimbali kutoka kila kona ya dunia, bofya kwenye picha iliyopo hapo chini kuona izo muvies
Nobody is a total failure if he dares to try to do something worthwhile. Tough times never last, but tough people do. The place broke up with applause. Those thirty - five hundred farmers who had lost hope and had battled depression found that hope.

Share habari hii kadri uwezavyo.

1 maoni:

Ama kweli maisha ni safari ndefu sana watu wangu. ila nakupa ongera sana mwana dada Dida kwa kuweza kupigana mpaka kufikia hapo ulipofikia, wana mama oyeeee!!!!!!

Reply
CodeNirvana
Contact us on mutalemwa.oesmo@gmail.com. Powered by Blogger.
© Copyright Mutalemwa Blog
Back To Top