Featured

    Featured Posts

    Social Icons


Loading...

UZINDUZI WA OFISI YA TRA MKOANI KARATU.

Naomba nikushirikishe na wewe pia kwamba kuna mambo mengi na mazuri ndapi ya picha iliyopo hapo chini ibofye uone.
Rais Kikwete akifunua kitambaa katika jiwe la msingi kuashiria kufungua rasmi ofisi ya Mamlaka ya mapato TRA Wilaya ya Karatu mjini.

Wufuatao ni moja ya viongozi walio shiriki katika uzinduzi huu. Mbumge wa Karatu mchungaji Israeli Nase (Watatu kushoto), Waziri wa Maji Profesa Jumanne Maghembe (Wapili kushoto), Mkuu wa Mkoa wa Arusha Magesa Mulongo (kushoto) na Mkurugenzi wa Utumishi na utawala wa TRA aliyemwakilisha Kamishna mkuua wa TRA Bwana Abubakari Kunenge (wapili kulia) na kulia ni mwakilishi wa ofisi ya TRA Mkoa Bi.Caroline Ntinku.
Usikose kuangalia Movies mbalimbali kutoka kila kona ya dunia, bofya kwenye picha iliyopo hapo chini kuona izo muvies
Nobody is a total failure if he dares to try to do something worthwhile. Tough times never last, but tough people do. The place broke up with applause. Those thirty - five hundred farmers who had lost hope and had battled depression found that hope.

Share habari hii kadri uwezavyo.

Contact us on mutalemwa.oesmo@gmail.com. Powered by Blogger.
© Copyright Mutalemwa Blog
Back To Top