Featured

    Featured Posts

    Social Icons


Loading...

MSANII JAGUAR ANOGESHA PASAKA SHOW.

Naomba nikushirikishe na wewe pia kwamba kuna mambo mengi na mazuri ndapi ya picha iliyopo hapo chini ibofye uone.
Mkali kutoka Kenya ambaye hivi sasa anamiliki headlines kutokana na wimbo wake wa ‘Kioo’, wakati watu wengine wakiungana na familia zao kusherekea sikukuu ya Pasaka yeye alitafuta njia ya pekee kusherekea siku hiyo.

Jaguar zaidi ya muziki ni msanii aliyefanikiwa sana kwenye uwekezaji ambao unamfanya kuwa mmoja kati ya wasanii wanaotengeneza pesa nyingi sana nje ya muziki hadi kumiliki ndege yake binafsi. Siku ya Pasaka Jaguar alienda kwenye gereza ambalo ali-shoot video yake ya Kioo na kuwafanyia party ya bure wafungwa hao.

Jaguar anasema kwamba ameamua kuwafanyia thanks giving party siku hiyo ya Pasaka kwa kuwashukuru kwa kile walichokifanya kwenye video ya Kioo na kuifanya ifanikiwe hadi sasa. kwenye show hiyo.
Usikose kuangalia Movies mbalimbali kutoka kila kona ya dunia, bofya kwenye picha iliyopo hapo chini kuona izo muvies
Nobody is a total failure if he dares to try to do something worthwhile. Tough times never last, but tough people do. The place broke up with applause. Those thirty - five hundred farmers who had lost hope and had battled depression found that hope.

Share habari hii kadri uwezavyo.

Contact us on mutalemwa.oesmo@gmail.com. Powered by Blogger.
© Copyright Mutalemwa Blog
Back To Top