HUYU NDIO KIJANA MDOGO BONGO MWENYE PESA HATARI. Kwajina anaitwa Kelvin Michael.
Katika hali ya kawaida ni ngumu kuamini ilisemekana kijana huyu mwaka 2005 alitoloka kwao na kwenda kusiko julikana, wazazi wake walijitahidi sana kumtafuta kwa kila hali bila mafanikio Mpaka ikawalazimu wazazi wake kukata tamaa kabisa, cha kushangaza ilipofika mwaka 2013 kijana huyo alilejea kwao tena,
kitendo ambacho kiliwafanya wazazi wake wabaki wakiduwaa na kutamani kufahamu kilichomsibu mtoto wao kipenzi.
Kwa upande wa kijna huyo hakuficha kitu, aliamua kuweka ukweli adharani kwa kusema "pikindi chote alicho kuwa hapatikani alikuwa ametokomea nchini south Africa kwa malafiki zake, na kwa mda ambao kijana huyu aliolejea hapa nchini bongo, ameonekana kuwa tishio kimaisha anamiliki Magari 4 na yote yasiyo pungua thaman ya milion 20, akiwa na miladi ya maduka ya saluji 3, huku akimiliki nyumba 5 zote thamani zake zisizo pungua milio 80.
NB: story hii niyakutunga.
hapa akiwa katulia kwenye gari lake




