Soccer City Pub ni moja ya sehemu ya starehe yenye mandhali mazuri na yenye utulivu kwa kiasi chake.
Pub hii inapatikana katika maeneo ya Tandika mbele kidogo na msikiti wa tandika kona. Uwapo ndani ya eneo la pub hii utakutana na burudani mbalimbali zikiwemo wasanii kupaform live jukwaani, Maigizo live nk.
Wote karibuni sana soccer city Pub tujumuike wote kwenye kipindi chote iki cha sikukuu ya Pasaka. Napia tunapenda kuwatangazia kuwa siku ya sikukuu ndani ya soccer city Pub patakuwa hapatoshi, kutokana na maandalizi jinsi tulivyo jipanga kuakikisha kila kitu kinaenda sawa kabisa, Please usikose kufika.