Siku ya Kusherehekea sikukuu ya Pasaka Ilikuwa ni siku ya Kihistoria Mjini Hapa Kwa kuwepo kwa Show ya Kundi la Kutoa Burudani Lijulikanalo kama Kanga Moja.
Hakika hawa wadada wameamua Kutafuta Pesa Kwa njia ambayo wao wameona inawafaa, lakini Je ni Sahihi kwa kufuata maadili ya tamaduni zetu kufanya Haya? Wadada hawa hucheza Nyimbo ambazo zimeimbwa na wasanii wengine hasa hupendelea Taarabu au hata zile zenye Sebene zuri ambazo zimetokewa kupendwa na Watu.
katika Pita pita zangu kusaka habari katika Usiku huo wa pasaka Nilibahatika Kuingia katika Ukumbi Mmoja na Kukutana na hichi kituko.
Siwezi sema mengi kama Tujuavyo makundi yanayojiita hili jina yanajulikana nini wanafanya wawapo stejini Nikaona si Vibaya Ni ka Share na wewe ndugu Msomaji. Lakini Tunawaomba wawe wanacheza tu lakini Kufikia Kuvua Nguo Hadharani si Kitendo Cha Busara kabisa
Tuna jua wanatafuta Pesa lakini Pesa kwa kujidhalilisha Hii si Sawa. Kitendo Hicho cha Kuvua Nguo kilileta Tafrani Ukumbini hapo kwa Baadhi ya Wanawake waliokuwemo na Kutaka show Hiyo kusimamishwa kwani walisema huo ni dhalilishaji wa wanawake. Kishymba alisema.