Featured

    Featured Posts

    Social Icons


Loading...

Jeshi la Polisi latoa dau juu ya tukio la bomu Arusha.

Naomba nikushirikishe na wewe pia kwamba kuna mambo mengi na mazuri ndapi ya picha iliyopo hapo chini ibofye uone.
Jeshi la Polisi Tanzania limetangaza zawadi ya Tsh.Milion 10 kwa mtu atakayewezesha kupatikana kwa wahusika walioshiriki mlipuko wa bomu lililolipuka Arusha.

Bomu hilo lililipuka mwishoni mwa wiki iliyopita kwenye bar ya Arusha Night Park ambalo lilisababisha majeruhi kadhaa.

Mkurugenzi wa makosa ya jinai Tanzania Dci Isaya Mgula amesema uchunguzi wa awali uliofanywa na wataalam wa mabomu kutoka Jwtz na Jeshi la Polisi Tanzania umebaini bomu hilo limetengenezwa kienyeji mbali na hilo lililolipuka Jeshi la Polisi pia lilibaini bomu lingine lililokuwa kwenye mkoba uliokua umeeegeshwa pembeni ya kiti kwenye bar jirani ya Washington. 
Usikose kuangalia Movies mbalimbali kutoka kila kona ya dunia, bofya kwenye picha iliyopo hapo chini kuona izo muvies
Nobody is a total failure if he dares to try to do something worthwhile. Tough times never last, but tough people do. The place broke up with applause. Those thirty - five hundred farmers who had lost hope and had battled depression found that hope.

Share habari hii kadri uwezavyo.

Contact us on mutalemwa.oesmo@gmail.com. Powered by Blogger.
© Copyright Mutalemwa Blog
Back To Top