Mvua zinazoendelea kunyesha maeneno mbambali nchini pamoja na jiji la dar es salaam.
Na repoter wetu Omary Selemani, akiwa Mbagala langi tatu anasema kwamba, mvua inayo endelea kunyesha ndani ya jiji la dar es salaam imesababisha madhara makubwa katika maeneo tofauti tofauti, ikiwemo eneo la darajani pale Miongoni, eneo hilo liko katikati ya Mission na msikitini.
Mbali na kuonekana kwa tukio hili ambalo chanzo chake ni mvua za msimu, bali ndugu wasomaji mnatakiwa kujua ya kwamba kuna maeneo mengi sana yaliyo kumbwa na janga la mvua hii likiwemo eneo la Mikocheni B nk.