Featured

    Featured Posts

Loading...

Jitihada za msanii Ommy Dimpoz.

Naomba nikushirikishe na wewe pia kwamba kuna mambo mengi na mazuri ndapi ya picha iliyopo hapo chini ibofye uone.
Ni zamu ya staa wa bongofleva anaetajwa kuwa wa pili kwa kupokea malipo makubwa kwenye show mbalimbali anazozifanya (milioni nane kwa show za ndani ya nchi).

Siku kadhaa baada ya kutua Tanzania akitokea Marekani na Uingereza alikokwenda kufanya showz pia, Ommy Dimpoz amekula dili jingine zuri kwa kualikwa kuimba na band yake aliyotoka nayo bongo katika party ya kampuni ya mafuta huko Muscat Oman.

Kwa siku kadhaa Ommy ambae ni miongoni mwa vijana wachache wa bongofleva wanaosifika kwa kujituma na kuwa serious na kazi, alionekana akifanya mazoezi na band yake ambayo ndio atahusika nayo mwanzo mwisho kwenye stage siku ya show Ijumaa March 28 2014.
Usikose kuangalia Movies mbalimbali kutoka kila kona ya dunia, bofya kwenye picha iliyopo hapo chini kuona izo muvies
Nobody is a total failure if he dares to try to do something worthwhile. Tough times never last, but tough people do. The place broke up with applause. Those thirty - five hundred farmers who had lost hope and had battled depression found that hope.

Share habari hii kadri uwezavyo.

Contact us on mutalemwa.oesmo@gmail.com. Powered by Blogger.
© Copyright Mutalemwa Blog
Back To Top