Ila panaonekana kuwa mbali kutokana na ubovu wa miundombinu iliyopo ikiwemo ubovu wa barabara, ukosefu wa umeme, hospital/ Zahanati nk.
Kutoka CHETA KAZOLE kwenda VIKINDU GETINI ni 6.749Km Pekee.
Ila panaonekana kuwa mbali kutokana na ubovu wa miundombinu iliyopo ikiwemo ubovu wa barabara, ukosefu wa umeme, hospital/ Zahanati nk.
NI AIBU KUONA VINYESI MAENEO YA POSTA
Ndugu mdau karibu sana kwenye ukurasa mpya kabisa unaoitwa Kero Yangu. Ukurasa huu utakuwa ukichapishwa kupitia Mutalemwa Blog pamoja na Tazama line.
Lengo la ukurasa huu nikutazama pale palipo sahaulika na kuwakumbusha wahusika ili wakapafanyie kazi. Pia ukurasa huu hauishii hapa Dar es salaam tu, bali mpaka mikoani.
kwaiyo kama kuna jambo ambalo halijawekwa sawa na wahusika iwe ni Serikali, watu binafsi au taasisi mbalimbali waweza kuwasilisha kero yako na sisi tutaichapisha mtandaoni ili iweze kupatiwa ufumbuzi wakudumu kutoka kwa mlengwa/walengwa/muhusika/wahusika.
Na kwakuanza leo tunajikita katikati ya jiji la Dar hapa maeneo ya Posta mpya.
Leo nikiwa katika pitapita zangu kwenye mitaa ya posta mpya jijini Dar es salaam, nimejisikia vibaya sana huku nikiwa nimegubikwa na aibu kubwa baada ya kukutana na station chemba


