Featured

    Featured Posts

    Social Icons


Loading...

ONGERA SANA WANA BURUNDI KWA MSIMAMO WENU

Naomba nikushirikishe na wewe pia kwamba kuna mambo mengi na mazuri ndapi ya picha iliyopo hapo chini ibofye uone.

Mbali ya kupingwa kwa habari ya juzi iliyokuwa ikisema Raisi wa Burundi Pierre  Nkurunziza amepinduliwa. Kiongozi wa Mapinduzi ya kijeshi Meja Jenerali Godefroid Niyombare  alitoa taarifa hizo kupitia kituo cha radio kiitwacho Isanganiro radio akisema serikali ya Nkurunziza imevunjwa.

Alisema kuwa wananchi wa Burundi wamekuwa wakipinga vikali hatua yake ya kuwania muhula wa tatu. Jenerali huyo alifukuzwa kazi nchini buruundi kama mkuu wa ujasusi mwezi February.

Napenda kuchukua nafasi hii kuwapongeza sana wana Burundi wote kwa msimamo wao walioweza kuusimamia toka mwanzo mpaka sasa, pia nitoe wito kwa watu wote kwamba hakuna marefu yasiyokuwa na ncha, wananchi wakiamua kufanya jambo linawezekana kabisa.

Tukumbuke kuwa huwezi kuwaongoza watu kama hawakutaki, kwaiyo ushauri kwa Pierre Nkurunziza nikwamba akubali kuachia ngazi ili atawale Kiongozi ambeye wana Burundi wanamtaka kuliko kug'ang'ania nafasi iyo huku raia wakiendelea kupoteza maisha yao.
Usikose kuangalia Movies mbalimbali kutoka kila kona ya dunia, bofya kwenye picha iliyopo hapo chini kuona izo muvies
Nobody is a total failure if he dares to try to do something worthwhile. Tough times never last, but tough people do. The place broke up with applause. Those thirty - five hundred farmers who had lost hope and had battled depression found that hope.

Share habari hii kadri uwezavyo.

Contact us on mutalemwa.oesmo@gmail.com. Powered by Blogger.
© Copyright Mutalemwa Blog
Back To Top