Eneo la hekari 1 linauzwa, lipo cheta. Ukitoka Kongoe ya Mbagala unaingia Mwandege kisha Vikindu, then kutoka vikindu ni 8km kufika eneo lilipo. Eneo hili liko hatua 70 kutoka barabarani, bei yake ni 7millions, pia maongezi yapo.
Eneo hili pia liko sehemu ambayo ni tambarale, kama ilivyo nature ya maeneo ya mwambao wa kusuni. Kwa ujenzi utumii garama kubwa maana mchanga unapatikana kwenye eneo husika, maji yanapatikana pia kwenye eneo husika.
Kama picha inavyo onesha, tayari Majirani wanaendeleza ujenzi kwenye maeneo yao. Tuwasiliane kupitia 0659919292 au 0787637571 Au visit: Mutalemwa-masgider.blogspot.com kwa habari mchanganyiko kama habari za matangazo.
Kwa habari za Matukio Kitaifa, Kimataifa, Michezo na Burudani, Ungana nami kupitia Link zifuatazo hapo chini.
In order you follow me just click one of the Icon Button above.