BASI la Arusha Express limepata ajali leo maeneo ya Uwanja wa Ndege wa Kisongo jijini Arusha wakati likijaribu kulipita gari ligine na kukutana na lori mbele yake.Ili kuepesha madhara, dereva wa lori aliamua kuingia kichakani ili asigongane uso kwa uso na basi hilo.
Katika ajali hiyo hakuna abiria ayepoteza maisha isipokuwa baadhi ya abiria waliokuwa kwenye roli ndio wameumia na kukimbizwa hospital.
Kwa habari za Matukio Kitaifa, Kimataifa, Michezo na Burudani, Ungana nami kupitia Link zifuatazo hapo chini.
In order you follow me just click one of the Icon Button above.