Katika hali ya kustaajabisha leo nyakati za saa mbili kasoro asubuhi mwendesha baiskeli amenusulika kifo baada ya kutaka kukatiza kwenye mataa yaliyopo katikati ya eneo la uwanja wa taifa pamoja na chuo cha uhasibu TIA.
Chanzo cha ajali hiyo ni mwendesha baiskeli, maana magari yalipo ruhusiwa na traffic ndipo na yeye alijichomeka kwenye msafara huo. Baada ya kujiingiza ndipo maswahibu yalipomkuta.
Gari aina ya daladala HICHE ndipo ilipo gonga baiskeli yake wakati huohuo mwendesha baiskeli huyo aliangushwa chini kisha mwendesha daladala akasimama, mbali na kutokea kwa ajali hiyo hakuna mtu aliye umia zaidi ya kuaribiwa kwa baiskeli ya muhusika tu.
Kwa habari za Matukio Kitaifa, Kimataifa, Michezo na Burudani, Ungana nami kupitia Link zifuatazo hapo chini.
In order you follow me just click one of the Icon Button above.