Matokeo ya uchaguzi wa serikali za mitaa yameleta picha tofauti ambapo CCM imezoa vijiji na vitongoji vyake kitu ambacho kinaashiria kifo kwa chadema na yeye kukosa ubunge tena.
Haya ndiyo matokeo katika jimbo la mbowe katika uchaguzi wa serikali za mitaa 2014. CCM imeshinda vijiji 42 CHADEMA 19, Vtongoji CCM imeshinda viti 191 CHADEMA 99 na CUF viti 11 kwa mtaji huu kuna asilimia 100 Mbowe kusombwa na maji.
HEBU TULIJADILI JAMBO HILI KWA BUSARA NA HEKIMA KWA PAMOJA.
Hizi ni TAKWIMU halali za matokea sahihi. Tujaribu kupambana kwa hoja na sio matusi ili kila mtu ajifunze kupitia hapa. HOJA KWA HOJA MATUSI NI UJINGA MPEVU. Binafsi namkubali sana Mhe Mbowe sifiki KIMBUSHI (HAI) bila kupita kwanza kwao ni mwenzangu.
Kwa habari za Matukio Kitaifa, Kimataifa, Michezo na Burudani, Ungana nami kupitia Link zifuatazo hapo chini.
In order you follow me just click one of the Icon Button above.