Featured

    Featured Posts

    Social Icons


Loading...

SIGARA YA BANGI YAANZA KUTUMIKA NCHINI UINGEREZA

Naomba nikushirikishe na wewe pia kwamba kuna mambo mengi na mazuri ndapi ya picha iliyopo hapo chini ibofye uone.
Wakati sigara ya kwanza ya bangi ya kieletcroniki ilipozinduliwa mnamo mwezi juni ilikuwa ikipatikana ughaibuni pekee. Lakini sasa ,kampuni moja imechukua hatua zaidi na kuanza kuuza bidhaa hiyo katika maeneo ya Uingereza.
KanaVape kama kinavyojulikana ni kifaa ambacho kina fanana na sigara za kielektroniki lakini chenye Bangi, kitauzwa mitandaoni kuanzia alhamisi ijayo,kulingana na mtandao wa Metro nchini Uingereza.

Watengezaji wa bidhaa hiyo nchini Uingereza Atonin Cohen na Sebastien Beguerie wanadai kwamba bidhaa hiyo ni halali kwa kuwa haina kemikali za bangi zinazoathiri akili. Bidhaa hiyo inatumia asilimia tano ya bangi,ikimaanisha kuwa inampa mteja hisia za utulivu kama bangi lakini haina athari zozote mbaya.
Bidhaa hiyo ya E-joint inamaanisha kuwa mtumiaji anaweza kuvuta mvuke wa bangi bila kupata harufu ya kawaida ya moshi wake.
Mashirika ya madawa hatahivyo yameipinga bidhaa hiyo kama kitu kilichotengezwa ili kuvutia hisia,lakini yakasema kuwa kuna uwezekano mkubwa kwamba bidhaa hiyo itakuwa halali chini ya sheria ya Uingereza kwa kuwa haina kemikali yenye madhara.


Kwa habari za Matukio Kitaifa, Kimataifa, Michezo na Burudani, Ungana nami kupitia Link zifuatazo hapo chini.

    
In order you follow me just click one of the Icon Button above.
Usikose kuangalia Movies mbalimbali kutoka kila kona ya dunia, bofya kwenye picha iliyopo hapo chini kuona izo muvies
Nobody is a total failure if he dares to try to do something worthwhile. Tough times never last, but tough people do. The place broke up with applause. Those thirty - five hundred farmers who had lost hope and had battled depression found that hope.

Share habari hii kadri uwezavyo.

Contact us on mutalemwa.oesmo@gmail.com. Powered by Blogger.
© Copyright Mutalemwa Blog
Back To Top