Ndugu msomaji wangu habari zilizo nifikia hivi punde nikwamba magari matatu yamegongana katika eneo la mtoni mtongani chini ya dalaja karibu na msikitini jijini dar es salaam. Katika tukio hilo limeyausisha magari aina ya centa ndogo, daladala pamoja na Toyota cresta.
Chanzo cha ajali hiyo ni kwamba centa imeama njia na kujikuta inagonga ubavuni mwa daladala, kisha daladala ikaigonga cresta. Baada ya kutokea kwa ajili iyo kumesababisha usumbufu mkubwa sana kwa watumij wa barabara iyo maana kumezua foreni kuanzia eneo la tukio mpaka maeneo ya T.I.A (uhasibu).
![](https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgqkfvdsCQnPtVtdB1BRo8WNnIXPkLftFAgnwnEsIn6wi5e6a3eWRGwII7wh1RRZiR7YnhR6IfHZu2S-L5TKd4i4JeqIXAZnEeqqNhmqdzjNYA4Q76BTKpB9MmvWIsr0dnAZXNg5DJSgT0/s200/FLASH+NECTA.gif)
Kwa habari za Matukio Kitaifa, Kimataifa, Michezo na Burudani, Ungana nami kupitia Link zifuatazo hapo chini.
In order you follow me just click one of the Icon Button above.