Gari hili ni aina ya Toyota I.S.T mabalo ni model ya 2007, likiwa na namba za usajiri wa T462 DBU
Bei yake linauzwa kwa thamani ya Tsh. 22,000,000/= (22Millions) ila maongezi yapo pia kwa mwenye kuitaji serious gari hili.
Gari hili halina matatizo yeyote, wala halidaiwi TRA, pia gari hili limetembea miezi miwili tu basi. Kwa mawasiliano zaidi waweza kuwasiliana na muuzaji kupitia simu namba 0767 806 801
![](https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgqkfvdsCQnPtVtdB1BRo8WNnIXPkLftFAgnwnEsIn6wi5e6a3eWRGwII7wh1RRZiR7YnhR6IfHZu2S-L5TKd4i4JeqIXAZnEeqqNhmqdzjNYA4Q76BTKpB9MmvWIsr0dnAZXNg5DJSgT0/s200/FLASH+NECTA.gif)
Kwa habari za Matukio Kitaifa, Kimataifa, Michezo na Burudani, Ungana nami kupitia Link zifuatazo hapo chini.
In order you follow me just click one of the Icon Button above.