Jamani kama wewe ni mpenzi wa kula chips kuku, basi wewe kuanzia leo nakuomba ujifunze kitu kutoka kwenye video hii hapa iliyopo hapo chini, kisha chukua hatua juu ya afya kako.
Angalia jinsi watanzania tunavyo lishwa sumu na kusababisha tufe huku tukijiona. Tafadhali share habari hii kwa ndugu jamaa na marafiki zako ili nawao wakajifunze kitu kutokana na habari hii. Asante na endelea kutembelea Mutalemwa Blog.
![](https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgqkfvdsCQnPtVtdB1BRo8WNnIXPkLftFAgnwnEsIn6wi5e6a3eWRGwII7wh1RRZiR7YnhR6IfHZu2S-L5TKd4i4JeqIXAZnEeqqNhmqdzjNYA4Q76BTKpB9MmvWIsr0dnAZXNg5DJSgT0/s200/FLASH+NECTA.gif)
Kwa habari za Matukio Kitaifa, Kimataifa, Michezo na Burudani, Ungana nami kupitia Link zifuatazo hapo chini.
In order you follow me just click one of the Icon Button above.