Siku ya jana majira ya saa saba mchana ndipo ajali hii ilitokea, pale maeneo ya uwanja wa taifa. ambapo dreva wa gari dogo alipoteza maisha pale pale
wakati dreva wa gari kubwa aliumia kwa kukatwa na vioo vya gari lake kisha akapelekwa katika hospital ya Amana kwa ajili ya matibabu.
Usikose kuangalia Movies mbalimbali kutoka kila kona ya dunia, bofya kwenye picha iliyopo hapo chini kuona izo muvies
wakati dreva wa gari kubwa aliumia kwa kukatwa na vioo vya gari lake kisha akapelekwa katika hospital ya Amana kwa ajili ya matibabu.
Kwa habari za Matukio Kitaifa, Kimataifa, Michezo na Burudani, Ungana nami kupitia Link zifuatazo hapo chini.
In order you follow me just click one of the Icon Button above.