Katika kipindi chote cha marumbano juu ya ishu ya tegeta wscrow, wabunge wengi walionyesha kukelwa sana na jambo hili la wizi wa pesa kutoka kwenye account ya tegeta escrow.
![](https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEh8xM4E8o1ZyTZTcWA50jiW4G2FIBVQGhJ5dL_U6HZD_VUr9lsN8rpeTEAewBuTCJwXtmIK08WvhltnkpqqpRZDQTWjYi80BWItotx6raglgWsA02uFBvGRFyPrlIHlzjC6xnXY4nFihcc/s1600/yt6.jpg)
Katika sakata hili wabunge waliweza kujadiliana na kufikia muafaka juu ya swala hili.
Ndugu msomaji wangu, endapo haukuweza kusikiliza mjadala mzima juu ya ishu ya tegeta escrwo sasa waweza kusikiliza kupita hapa na kuweza kujua nini kilicho zungumzwa, bofya hapa kusikiliza mjadala ulivyokuwa uko dodoma.
![](https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgqkfvdsCQnPtVtdB1BRo8WNnIXPkLftFAgnwnEsIn6wi5e6a3eWRGwII7wh1RRZiR7YnhR6IfHZu2S-L5TKd4i4JeqIXAZnEeqqNhmqdzjNYA4Q76BTKpB9MmvWIsr0dnAZXNg5DJSgT0/s200/FLASH+NECTA.gif)
Kwa habari za Matukio Kitaifa, Kimataifa, Michezo na Burudani, Ungana nami kupitia Link zifuatazo hapo chini.
In order you follow me just click one of the Icon Button above.