Safari yakuelekea Hague ilipo Mahakama ya ICC










BAADA YA KUFIKA HAGUE SAFARI YA KUINGIA MAHAKAMANI ICC ILIANZA.




![]() |
Sonko Alikuepo
Pia
|

Na Hivi ndivyo ilivyokuwa baada ya Kutoka ndani ya Mahakama ya ICC huko Hague




Raisi Uhuru Kenyatta wa Kenya akiwa anasalimiana na wana Kenya walioenda kumpa sapoti nchini Holland, Hapo ni baada ya kutoka kwenye mahakama ya ICC.

Kwa habari za Matukio Kitaifa, Kimataifa, Michezo na Burudani, Ungana nami kupitia Link zifuatazo.
FACEBOOK >>> TWITTER >>> MATUKIO >> MUSIC MPYA